Duka la bidhaa za watoto lafunguliwa jijini Dar
Mkurugenzi mkuu wa Babyshop,Bw Malcolm Schulz akihojiwa na waandishi wa habari katika uzinduzi wa duka lap jipya lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam Bw Malcolm Schulz, Mkurugenzi Mkuu wa Babyshop akiangalia matoyi muda mfupi baada ya kufanyika uzinduzi rasmi wa duka hilo. Wateja wakusubiria nje ya duka la babyshop na watoto wao Wateja wakisubiria ufunguzi wa duka la
Babyshop jijini Dar es Salaam Wateja wakisubiri kulipia vitu
mbalimbali ambayo wamenunua hapo Babyshop
Mteja akiangalia nguo za mtoto wake
ndani ya duka la Babyshop.
No comments:
Post a Comment