Kocha wa Mchezo wa ngumi Kambi ya Ilala Habibu Kinyogoli (kushoto) akimfundisha bondia chipukizi wa kike,Lulu Kayege ikiwa ni maandalizi ya mipambano yoyote itakayoshirikisha wanamasumbwi wa kike. |
Kocha wa Mchezo wa ngumi Kambi ya Ilala Kondo Nassoro akiendelea kumfua bondia chipkizi wa kike,Lulu Kayege.picha na www,superdboxingcoach.blogspot .com
No comments:
Post a Comment