Tuesday, August 14, 2012

BENKI YA CRDB YAFUTARISHA JIJINI TANGA


 Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mh. Chiku Galawa akipeana mkono na Meneja Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyo wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga mjini, Halima Dendegu.(Picha na Habari Mseto Blog)
 Baadhi ya wageni wakipata futari.
 Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Chiku Galawa (wa pili kushoto) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanga mjini,Mh. Halima Dendegu (kushoto) wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na benki ya CRDB kwa wateja wake na kufanyika kwenye Uwanja wa Mkwawani jijini Tanga.
 Mkuu wa Mkoa wa Taga,Mh. Chiku Galawa akizungumza wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na benki ya CRDB kwa ajili ya wateja wake.
 Meneja wa Huduma kwa Wateja, Godwin Semunyo akizungumza katika hafla hiyo. Kulia ni Meneja wa CRDB Tawi la Tanga, Evalist Mnyele.
 Meneja wa CRDB Tawi la Tanga, Evalist Mnyele.
 Mkuu wa  Mkoa wa Tanga, Kapteini mstaafu, Chiku Galawa (wa pili kulia) akiteta jambo na Meneja wa CRDB Tawi la Tanga, Evalist Mnyele. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga mjini, Halima Dendegu na kulia ni Meneja wa Huduma kwa Wateja wa CRDB, Godwin Semunyo.

No comments:

Post a Comment