Wednesday, July 11, 2012

Watoto waishio vijijini

 Katika pita pita zangu maeneo mbali mbali ya nchi hii ikiwa ni sehemu ya Muendelezo wa Libeneke la Mtaa kwa Mtaa nilibahatika kuwanasa watoto hawa katika kijiji cha Taboteri,wilayani Gairo Mkoani Morogoro wakiwa wamekula posi pembezoni mwa barabara kuu ielekeayo Mkoani Dodoma bila ya wasiwasi wowote huku wakishindana kutaja magari yanayopita katika barabara hiyo kwa kila mmoja kusema gari ni lake linalopita barabarani hapo.
huku pia mpango uliokuwa ni huo huo.

No comments:

Post a Comment