Maana nilikatika maeneo ya Tabata Mawenzi jijini Dar siku za karibuni na kukuta Magari haya yakiwa yamepaki katika moja wa uwanja uliopo katika maeneo hayo.na ndipo likanijia swali hilo la CHA KALE NI DHAHABU??maana nashindwa kuelewa kuwa gari kama hizi na hali yake zionekanavyo kuna siku zitakuja kufanya tena kazi??
Wednesday, July 11, 2012
Home
Unlabelled
Wahenga walimaanisha nini kusema cha kale ni dhahabu??
Wahenga walimaanisha nini kusema cha kale ni dhahabu??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment