Tuesday, July 17, 2012

Tumpige tafu Lisa Jensen ili aweze kufanya vyema Miss World


Ndugu zetu Watanzania popote walipo, tunaomba tumsaidie Miss Tanzania anayeiwakilisha nchi yetu nzuri kwenye mashindano ya Miss World ya mwaka huu yatakayofanyika nchini Mongolia.
Unacho hitaji kufanya ni kubonyesha LIKE kwenye tovuti hii www.missworldtanzania.com/contestants/tanzania/facebook
Unaweza pia kumfuatilia Miss Tanzania kwenye twitter @MWTanzania 
Tunashukuru kwa ushirikiano wenu 
Ahsanteni sana

No comments:

Post a Comment