Sunday, July 15, 2012

tamasha la wajanja wa vodacom lafanyika jijini tanga leo.

Msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz akiwapagawisha wakazi wa jiji la Tanga wakati wa Tamasha la Wajanja wa Vodacom lililofanyika katika uwanjha wa Mkwakwani mjini humo,likiwa na lengo la kuuelimisha uma kutumia mtandao wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilling na kutuma ujumbe kwa shilingi 25 kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii Machachari wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinum akionesha umahiri wake wa kucheza  mbele ya wakazi wa jiji la Tanga wakati wa Tamasha la Wajanja wa Vodacom lililofanyika katika uwanja wa Mkwakwani mjini humo,likiwa na lengo la kuuelimisha uma kutumia mtandao wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilling na kutuma ujumbe kwa shilingi 25 kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure.
Mtaalam wa Mitambo kutoka kampuni bingwa ya burudani hapa nchini,Prime Time Promotions Ltd,Haroun a.k.a Dj Run akihakikisha kila kitu kinakwenda sawa wakati wa tamasha hilo jioni ya leo ndani ya uwanja wa Mkwakwani,mkoani Tanga.
Msanii Mahiri wa Hip Hop Joh Makini  akiwapagawisha ilivyo wakazi wa jiji la Tanga wakati wa Tamasha la Wajanja wa Vodacom lililofanyika katika uwanja wa Mkwakwani mjini humo,likiwa na lengo la kuuelimisha uma kutumia mtandao wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilling na kutuma ujumbe  25 kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure.
Msanii wa kizazi kipya Nay wa Mitego  akiwapagawisha wakazi wa jiji la Tanga wakati wa Tamasha la Wajanja wa Vodacom lililofanyika katika uwanja wa Mkwakwani mjini humo,likiwa na lengo la kuuelimisha uma kutumia mtandao wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilling na kutuma ujumbe kwa shilingi 25 kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure.
 Msanii wa kizazi kipya Mabeste akikamua vilivyo na kuwapagawisha wakazi wa jiji la Tanga wakati wa Tamasha la Wajanja wa Vodacom lililofanyika katika uwanja wa Mkwakwani mjini humo,likiwa na lengo la kuuelimisha uma kutumia mtandao wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilling na kutuma ujumbe kwa shilingi 25 kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure.
Nyomi ya wakazi wa jiji la Tanga waliojitokeza katika Taamasha la Wajanja wa Vodacom.

No comments:

Post a Comment