Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dkt. Richard Masika akiwahutubia Baadhi ya Wahitumu wa Kozi ya Awali na Mafunzo unganishi kwa ajili ya kujiunga na Stashahada za Uhandisi.
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mh. Mercy Silla atoa neno kwenye Tukio la Kufunga Mafunzo Unganishi na Kozi ya Awali.
Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya ATC, Bi. Suzan Mnafe akisoma Hotuba yake wakati ufunguzi wa Mafuzo Unganishi na Kozi ya Awali yaliyofanyika katika Chuo cha Ufundi,Jijini Arusha.
Mwakilishi wa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Bw. David Kazuva (Mkurugenzi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi), akiwahutubia baadhi ya wanafunzi waliohitimu Kozi ya Pre-Entry Course na Bridging Course katika Chuo hicho.
Baadhi ya Wahitimu wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mgeni rasmi.
No comments:
Post a Comment