Rais Jakaya Mrisho Kikwete,Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal wakiongea katika Ikulu ya Zanzibar leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal wakijumuika na wananchi wa Zanzibar katika Sala ya Ijumaa katika msikiti wa Mwembe Shauri, Unguja leo.PICHA NA IKULU



No comments:
Post a Comment