Tuesday, July 24, 2012

Rais Kikwete akutana na Dkt. Asha Rose Migiro Ikulu jijini Dar leo

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na  aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dkt. Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es Salaam leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana baada ya  kufanya mazungumzo na  aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es Salaam leo. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

No comments:

Post a Comment