HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 18, 2012

Mashujaa band watoka na video yao mpya ya "Risasi Kidole"

 Kiongozi wa Bendi ya Mashujaa,Chalres Gabriel a.k.a Charles Baba akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo asubuni wakati wa kutangaza uzinduzi wa video yao mpya inayokenda kwa jina la "Risasi Kidole".Kushoto ni Meneja wa Bendi hiyo,Martin Sospeter.
Sehemu ya video ya waimbo wao huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad