Sunday, July 29, 2012

Mama halisi wa Kitanzania na Shida ya Maji

Haya ndio Maisha halisi ya Mama zetu huko vijijini na hali halisi ya upatikanaji wa Maji ya Kutumia majumbani.

1 comment:

  1. Serikali wapeni wananchi maji,badala ya kuwapa wabunge magari tafadhali.

    ReplyDelete