Friday, July 27, 2012

Lango Kuu la Mlimani City lilipogoma kufunguka

 Jamaa akihangaika kuufungua mlango mkuu wa kuingia na kutoka kwenye Mall ya Mlimani City,baada ya mlango huo kujifunga ghafla.
 heka heka za kuufungua mlango huo. 
baadae ukafunguka na mambo yakawa kama kawa.

No comments:

Post a Comment