JAMAA ACHEZEA KICHAPO KWA KUTUHUMIWA KUIBA JEMBE MKOANI IRINGA
Mkazi wa kijiji Isakalilo katika Manispaa ya Iringa jina halikuweza kupatikana mara moja akipelekwa kituo cha polisi jana baada ya kukamatwa na kuchezea kichapo cha nguvu kwa kutuhumiwa kuiba jembe la kuliamia.Picha na Francis Godwin Blog.
No comments:
Post a Comment