wenyewe wanasema hii ni intavyuu kwa yeyote anaetaka kujiunga na kazi yao hakuna haja ya kuandika barua wala kuleta CV,bali unabebeshwa mzigo na mtu juu kama Kamera yetu ya Mtaa wa Mtaa ilivyoweza linasa tukio hili maeneo ya Manzese Uwanja wa Fisi.
No comments:
Post a Comment