Meneja Masoko wa Kinywaji cha Grandmalt,Fimbo Buttalah (kulia) akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Balozi Seif Ally Iddi mfano wa Hundi yenye thamani ya Shilingi milioni tano kama sehemu ya Rambirambi zilizotolewa kwa pamoja kati ya Grandmalt ambao ni wadhamini wa Ligi kuu ya Zanzibar na Chama cha Soko Zanzibar ZFA. Kushoto ni Makau wa rais wa Zfa Kassum Suleman.
makamu wa pili wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ally Iddy akipeana mkono na Makau wa rais wa ZFA,Kassum Suleman.
Makamu wa Pili wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Balozi Seif Ally Iddi akizungumza na Maafisa wa Grandmalt muda mfupi baada ya kupokea rambirambi ya shilingi milioni tano toka Grandmalt na ZFA Kwaajili ya kuwafariji wale wote waliopatwa na maafa ya ajali ya kuzama kwa meli ya Mv. Skagit hivi karibuni.

No comments:
Post a Comment