Friday, July 13, 2012

elimu ukiipenda,itakupenda pia

Siku ndio imeanza: Hebu mtazame mwanafunzi huyu kwa makini sana , anafanya Biashara huku anakula kitabu. Swali ni Je kwa Misingi Hii Afrika Tutafika?Picha kwa hisani ya Tone Radio-Tv Blog.

No comments:

Post a Comment