Tuesday, July 31, 2012

Dereva Bora wa mwaka 2011 kushiriki Mashindano ya dunia ya madereva

Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya Scania nchini Tanzania, Mark Cameron(kushoto) akimkabidhi bendera ya Taifa dereva, ErasmusMtui ambaye ni mshindi wa mwaka 2011nchini Tanzani anayekwenda kwenye mashindano ya Dunia ya Bingwa wa Mabingwa yanayotarajiwa kufanyika Afrika Kusini.Makabidhiano hayo yalifanyika makao makuu ya ofisi za Scania Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment