Mchana huu katika pita pita zangu,nikajikuta nimeibukia Mtaa wa Idrisa Magomeni Mapipa,na nilipofika maeneo ya jirani na Mgahawa maarufu kwa kupika pilau Dar nzima (Butiama) nikashangazwa kuona kibanda (hicho pichani) kikiwa kimewekwa katikati ya mtaa,nikajiuliza hiki kibanda imekuwaje kimewekwa hapa??lakini sikujipatia jibu na hivyo ikanilazimu kukipiga picha na kukianika hapa ili tusaidiane kujuzana juu ya hili kama kuna mwenye data zozote juu ya kibanda hiki.

No comments:
Post a Comment