Katibu mkuu wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF),Angetile Osiah akibadilishana nyaraka zamikataba na Mkurugenzi Mkuu wa BancABC Boni Nyoni wakati wa kusaini mkataba waudhamini wa michuano ya soka ijulikanayo kama Banc ABC SUP8R Soccer Tournament2012 itakayoanza kutimua vumbi Agosti 4 na kushirikisha timu nane kutokaTanzania Bara na Visiwani
Mkurugenzi wa masokona matukio wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Jimmy Kabwe akisaini mkataba wamakubaliano ya udhamini wa michuano ya Banc ABC SUP8R Soccer Tournament 2012inayodhaminiwa na banc ABC kulia kwake ni katibu mkuu wa TFF Angetile Osiah,Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo Boni Nyoni na Mkuu wa Idara ya fedha ya benkihiyo, Mwalimu Zubery.Haflya hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam makao makuu ya TFF ambapo michuano hiyo itaanza Agosti 4-18 (Picha na http://dinaismail.blogspot.com).

No comments:
Post a Comment