Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo juu ya Udhamini wa Grand Malt kwa timu ya Albino UTD inayokwenda Mkoani Dodoma kwa ajili ya Mchezo mmoja na Timu ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakayochezwa siku ya jumamosi julai 14,katika uwanja wa Jamhuri,ikiwa ni sehemu ya kufikisha ujumbe kwa Wabunge wa mahitaji mbali mbali kwa watu wenye ulemavu wa Ngozi nchini.Kushoto ni Katibu Mkuu wa Timu ya Albino UTD,Said Ndonge na kulia ni Mmoja wa wachezaji wa timu hiyo,Hamis Kidunyo.
Katibu Mkuu wa Timu ya Albino UTD,Said Ndonge akielezea namna walivyoweza kujiandaa na mpambano huo.



No comments:
Post a Comment