Wednesday, March 9, 2011

Mgambo wa Jiji

Ukicheki tu kwa haraka haraka waweza sema ni mnunuzi,lakini kumbe hapo anamlia taimingi ya kumdaka muuzaji kwa kuweka biashara yake sehemu isiyoruhusiwa.

No comments:

Post a Comment