Tuesday, March 1, 2011

mashindano ya klabu bingwa taifa yafunguliwa

Bondia wa Mkoa wa Ilala Edward Jackson (kulia) akioneshana kiwango cha kutupa masumbwi na Mohamedi Abdalah wa Arusha wakati wa mashindano ya klabu bingwa taifa yanayofanyika uwanja wa ndani wa taifa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment