Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akizungumza na Balozi wa Iran Nchini Tanzania, Bw. Movahhedi Ghomi wakati alipofika Ofisini kwake Kujadili Mkutano wa Mkataba wa Kuhifadhi ardhi Oevu utakaofanyika Nchini Iran.Tanzania ni Miongoni mwa Nchi zinazotekeleza Mkataba wa Ramsa.(Picha na Ali Meja)
No comments:
Post a Comment