Monday, February 14, 2011

hivi ndivyo hali ilivyo jijini mwanza leo

hakuna daladala inayofanya kazi siku ya leo kutokana na mgomo unaendea kushinikiza nauli za abiria kuongezwa ili kukidhi mahitaji yao.



1 comment: