Friday, February 18, 2011

biashara ikiendelea chini ya meza

kamera yetu leo imemnasa mwanamama huyu mwenye asili ya kimasai anaefanya biashara ya kuuza dawa za asili katika mitaa ya Kariakoo,akiwa kapiga mbonji chini ya meza ya biashara yake.

No comments:

Post a Comment