Mdau wa Michezo mbalimbali hapa nchini,Innocent Melleck (kushoto) akimkabidhi vifaa vya huduma ya kwanza kwa kocha wa timu ya ngumi ya Ashanti, Rajabu Mhamila (Super 'D') leo.timu hiyo inajiandaa na mashindano ya mkoa wa Ilala yatakayoanza januari 8 mwaka huu, wanaoshuudia ni Mweka hazina wa timu hiyo Emanuel Mgaya,Juma Mwalimu na kulia ni Norbet Sikauke
No comments:
Post a Comment