Monday, January 10, 2011

swali la kizushi kwa wanaolijua vyema jiji la dar

mnaweza kutambua hii ni barabara gani na ipo wapi katika jiji la dar???

3 comments:

  1. hapa ni barabara inayotoka masaki kuelekea obay via coco beach.

    ReplyDelete
  2. hii ni toure drive, kuelekea hotel ya sea-cliff, na vile vigorofa pale ni yale yalikula nyundo wakati wa utawala wa uncle BEN

    ReplyDelete
  3. Nasikia hapo pembeni wanataka kuweka WInd Power ya umeme?

    ReplyDelete