Monday, January 10, 2011

ndinga iko sokoni

Gari Aina ya Volkswagen Passat TDI Sports Inauzwa.
Mwaka - 1999
ina Open Roof,ABS,A/C,Driver Air Bag Protection.
Ni Automatic Gear.

Bei maelewano.


kwa mawasiliano
+255 (0) 659 528 446
(kwa wanunuzi tu,dalali haitajiki)

inavyoonekana kwa ndani
Mbele
Nyuma na Ubavu wa kulia unavyoonekana.
Ina buti kubwa la kutosha kwa mizigo mbali mbali.