HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 28, 2011

mjomba band na kamuzi la kufa mtu usiku huu @ mzalendo pub

Sabriba John na Ismail wa Mjomba Band wakikamua usiku huu ndani ya Mzalendo pub.
Baadhi ya waimbaji wa Mjomba Band,toka shoto ni Sabrina John,Filloo pamoja na Aneth Kushaba (aliekuwa mshiriki wa Tusker Project Fame 2010) wakifanya kamuzi la ukweli kabisa ndani ya Mzalendo Pub usiku huu.
Kamera man nanihii uzalendo umeingia mfukoni na kuanza kuyarudi magoma makali yaliyokuwa yakiachiwa na Mjomba Band usiku huu.
hapa sasa......
Mjomba Mrisho Mpoto akipiga stori mbili tatu na Mh. Zitto Kabwe aliefika katika kiwanja hicyo kumpiga tafu Mjomba Mrisho Mpoto ambaye anapiga hapo kila siku za Alhamisi akiwa na bendi yake nzima.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad