Friday, December 17, 2010

waziri mkuu akutana na wahariri ofisini kwake leo

Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akielezea jambo katika mkutano wake na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake mjini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda (kushoto) akiongea na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake mjini Dar es salaam leo.Picha zote na Anna Itenda - MAELEZO

No comments:

Post a Comment