Thursday, December 30, 2010

Mambo yetuu yaleeee....... mtaa wa Libya

hii kitu ipo pale maeneo ya Kisutu katika mtaa wa Libya.haya ni maji machafu yanayotoka katika vyoo vya nyumba za jirani na maeneo haya.sasa sijui inakuwaje??
ukiwa unaelekea mnazi mmoja hili shimo lipo upande wa kushoto kama picha hii inavyoonekana.

No comments:

Post a Comment