Friday, December 31, 2010

Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa na Taswira ya Afrika sana, Sinza

Kamsururu kakiaina kanakosababishwa na makutano ya pale Afrika sana.
Watembea kwa miguu wavukavyo barabara katika sehemu zisizo na vivukio.

No comments:

Post a Comment