Thursday, December 23, 2010

hivi ni kweli sehemu hii inastahiki kuwa dampo???

hapa ni pale kilipo kituo cha daladala cha Victoria kama ukitokea mjini,ni nje ya jengo la makao makuu ya kampuni ya ulinzi ya Knight Support jijini Dar.hivi kweli hapa panastahiki kuwa namna hii??

No comments:

Post a Comment