Monday, November 8, 2010

sijui Tanesco wanampango gani na hizi nyaya??

maana zimelegeakama nini vile na watu wa malori wanafanya kama picha hii inavyoonekana ili magari yao yaweze pita vizuri.

No comments:

Post a Comment