Thursday, November 25, 2010

mambo yetu yaleee...

huu mnara sijui wanataka kuweka kitu gani??na pia uzinduzi wake sijui utakuwaje??upo pale mbele kidogo ya Clock tower katika barabara ya uhuru,jijini Dar.

No comments:

Post a Comment