Tuesday, November 30, 2010

hivi ni kweli kwamba hili shimozz limekosa ufumbuzi??

maana ni miaka mingi sana sasa lipo namna hii na hakuna hata anapatwa na mshtuko,sasa sijui ni kwamba ndio limekosa ufumbuzi,au ndio wachakachuaji washamaliza kazi yao??

No comments:

Post a Comment