Thursday, October 28, 2010

hapa kazi ipoo...

"eeehh... wee ndugu,kwanini unatembea na gari lisilokuwa na namba??"hivyo ndivyo anavyoonekana Askari Polisi huyo akimuhoji mmiliki wa gari hilo.sasa sijui huyu mwenye gari hajui taratibu za usalama barabarani??

No comments:

Post a Comment