Tuesday, October 12, 2010

chombo kikijikongoja katika milima ya usambara

hii ni moja ya magari yabebayo abiria waendao katika vijiji vya mtae na mlalo wilayani Lushoto,na hapo ishakula nyomi la maana na inajikongoja tartibu kupandisha milima ya Usambara kama ilivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa.

1 comment:

  1. Mlalo mahali pazuri duniani, umenikumbusha enzi hizo Mungu ibariki hiyo ehemu ione mbele.

    ReplyDelete