Meneja Matangazo na Promosheni wa Tigo, Redemptus Masanja (kushoto) akikabidhi zawadi ya pikipiki kwa mfanyakazi bora wa kujitegemea kitengo cha mauzo cha kampuni hiyo, Cresencia Malima kutoka Dodoma wakati wa mkutano wa wafanyakazi hao wa mikoa ya Kanda ya Kaskazini uliofanyika katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkuu wa kanda hiyo, Victor Leonard.
No comments:
Post a Comment