Rais wa
Jamhuri ya Kenya Mhe. William Somoei Ruto akisalimiana
na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, wakati alipokuwa
anawasili Ukumbi wa Mikutano wa South C, jijini Nairobi nchini Kenya, leo
Jumatano tarehe 24 Mei, 2023, kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa ID4AFRICA
unaojadili masuala ya Ikolojia ya Utambuzi. Picha na Felix Mwagara – WMNN.
Wednesday, May 24, 2023

RAIS RUTO AKUTANA NA WAZIRI MASAUNI KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA ID4AFRICA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment