JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA SINGIDA YAMPONGEZA NDG. AHMED MISSANGA KWA MCHANGO WAKE - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 23, 2023

JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA SINGIDA YAMPONGEZA NDG. AHMED MISSANGA KWA MCHANGO WAKE

 


Jumuiya ya Wazazi wilaya ya Singida mjini tunatoa shukrani nyingi sana kwa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Singida Ndg. Ahmed Missanga.

kwa mchango wako uliotutumia kwaajili ya ujenzi wa Nyumba ya Mtendaji wa Jumuiva ya wazazi wilaya ya Singida Mjini unaoendelea , Mwenyezi Mungu akubariki sana.
Katibu Jumuiya ya Wazazi (W) Tarehe 23/5/2023

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad