T-PESA YASHIRIKI MKUTANO ULIOKUTANISHA MSAJILI WA HAZINA , WENYEVITI WA BODI, PAMOJA NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA. - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 26, 2023

T-PESA YASHIRIKI MKUTANO ULIOKUTANISHA MSAJILI WA HAZINA , WENYEVITI WA BODI, PAMOJA NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA.

 

 





Mwenyekiti wa Bodi ya T-PESA Brigadier General Ramadhan Abdul Kimweri (kulia) pamoja na Mkurugenzi wa T-PESA Bi. Lulu Mkudde wakishiriki kikamilifu katika Mkutano uliondaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa Wenyeviti wa Bodi pamoja na Wakurugenzi Wakuu uliofanyika leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dares Salaam.
(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA WA MMG)
Mkutano ukiendeleaa


Watushi wa T-PESA wakiwahudumia wateja mbalimbili walitembelea banda katika Mkutano uliondaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa Wenyeviti wa Bodi pamoja na Wakurugenzi Wakuu uliofanyika leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dares Salaam.








Mkurugenzi wa T-PESA Bi. Lulu Mkudde akiwa katika picha ya Pamoja na viongozi mbalimbali leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dares Salaam.

(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA WA MMG)






No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad