BALOZI WA UTURUKI DK,MEHMENT GULLUOGLU NCHINI TANZANIA AMKABIDHI DC JOKATE BAISKELI 200 - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 24, 2023

BALOZI WA UTURUKI DK,MEHMENT GULLUOGLU NCHINI TANZANIA AMKABIDHI DC JOKATE BAISKELI 200

 

Leo Tarehe 24-04-2023 Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo amekabidhiwa BAISKELI 200 Kwa Watoto wa kike ikiwa ni sehemu ya kuhunga mkono juhudi za Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuboresha mazingira ya Elimu Kwa Mtoto wa kike Nchini.

Makabidhiano hayo yameshuhudiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo Uturuki, Mwenyekiti wa CCM Korogwe Mjini pamoja na Katibu wa CCM Korogwe Vijijini.

Mh. Jokate Mwegelo amemshukuru Balozi wa Uturuki katika kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika kuboresha mazingira ya Elimu Kwa Mtoto wa kike. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad