ASANTE SANA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUTOA FEDHA-DC LUDIGIJA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 15, 2023

ASANTE SANA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUTOA FEDHA-DC LUDIGIJA

 

 Nikishiriki Uchimbaji wa Msingi ujenzi wa Jengo la Wazazi kwenye kituo cha Afya Sumve, Kata hii ni miongoni mwa kata zenye watu wengi kwenye Wilaya ya Kwimba wananchi walikuwa wanatembea umbali mrefu kupata huduma walilazimika kwenda Kolomije, Wilaya ya Misungwi.

Ilisababisha wamama wengi kujifungulia majumbani na baadhi kupoteza watoto au wote wawili mama na Mtoto asante sana Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa pesa kupitia Tasafu na kuelekeza Halmashauri nayo kupitia mapato ya Ndani waunge mkono kukamilisha kituo hiki cha Afya.

Mhe Ng'wilabuzu Ludigija Mkuu wa Wilaya ya Kwimba.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad