CHONGOLO AKUTANA NA BALOZI WA MSUMBIJI NA RWANDA JIJINI DAR ES SALAAM - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 20, 2023

CHONGOLO AKUTANA NA BALOZI WA MSUMBIJI NA RWANDA JIJINI DAR ES SALAAM

 

 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Meja Jenerali Balozi Charles Karamba (kulia) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Meja Jenerali Balozi Charles Karamba (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiagana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Meja Jenerali Balozi Charles Karamba (kulia) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.


 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Balozi Ricardo Ambrosio Mtumbuida (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Balozi Ricardo Ambrosio Mtumbuida (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad