Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga (KATIKATI)akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Kiwanda Cha Kutengenezea Boti aina ya FAIBA kinacho milikiwa na KMKM Ngara Kibweni Zanzibar,Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar,Kushoto yake ni Mkuu wa KMKM Komodoo Azana Hassan Msingiri.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu (LESTINANT) Kamanda Rashid Masemo kuhusiana na namna wanavyotengeneza Boti baada ya ufunguzi wa Kiwanda hicho kinacho milikiwa na KMKM Ngara Kibweni Zanzibar,Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar,
Mafundi wa Kikosi cha KMKM wakishusha Boti Aina ya Faiba iliomalizika kutengenezwa katika Kiwanda Cha Kutengenezea Boti aina ya FAIBA kinacho milikiwa na KMKM Ngara Kibweni Zanzibar,Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Boto aina ya Faiba kinacho milikiwa na KMKM Ngara Kibweni Zanzibar,Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar,
Mkuu wa KMKM Komodoo Azana Hassan Msingiri akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Boto aina ya Faiba kinacho milikiwa na KMKM Ngara Kibweni Zanzibar,Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar,
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za MikoaSerikali za Mitaa na Idara maalum za smzIssa Mahfoudh Haji akitoa hotuba katika hafla ya ufunguzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Boto aina ya Faiba kinacho milikiwa na KMKM Ngara Kibweni Zanzibar,Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar,
No comments:
Post a Comment