WAZIRI WA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AFUNGUA MAEGESHO YA MAGARI MICHENZANI MALL ZANZIBAR. - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 4, 2023

WAZIRI WA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AFUNGUA MAEGESHO YA MAGARI MICHENZANI MALL ZANZIBAR.

 Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita Akitoa hotuba katika hafla ya  Ufunguzi wa Maegesho ya Magari  iliofanyika Michenzani Mall Jijini Zanzibar.Ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.Gari la Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita likipita kuelekea katika Maegesho ya Magari baada ya kufunguliwa hafla iliofanyika Michenzani Mall Jijini Zanzibar.Ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar.Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita Akiata Utepe  kuashiria Ufunguzi wa Maegesho ya Magari hafla iliofanyika Michenzani Mall Jijini Zanzibar.Ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar.Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita (KUSHOTO)akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Maegesho ya Magari hafla iliofanyika Michenzani Mall Jijini Zanzibar.Ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad