Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othmana Masoud Othman (KUSHOTO)akipata maelezo kutoka kwa Afisa Msaidizi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Jozani Habib Abdulmajid Shaaban katika hafla ya Uzinduzi wa Hifadhi Hai ya Jozani Ghuba ya Chwaka Jozani Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Mwenye Miwani) ni Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Shamata Shaame Khamis.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othmana Masoud Othman (KATIKATI)akipata maelezo kutoka kwa Afisa Msaidizi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Jozani Habib Abdulmajid Shaaban wakati akitembelea hifadhi Hai ya Jozani Ghuba ya Chwaka katika hafla ya Uzinduzi wa Hifadhi hio hafla iliofanyika Jozani Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othmana Masoud Othman (KUSHOTO)akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uzinduzi wa Hifadhi Hai ya Jozani Ghuba ya Chwaka katika hafla ya Uzinduzi wa Hifadhi hio hafla iliofanyika Jozani Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Kulia ni Kulia ni Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Shamata Shaame Khamis.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othmana Masoud Othman akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Hifadhi Hai ya Jozani Ghuba ya Chwaka hafla iliofanyika Jozani Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Mwenyekiti wa Kamati ya Hifadhi Hai Dk Mena Hunwe Jangu akitoa maelezo ya upatikanaji wa hifadhi hai ya jozani Chuba ya Chwaka katika hafla ya Uzinduzi wa Hifadhi hio hafla iliofanyika Jozani Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment