MAKAMU MWENYEKITI WA CCM KOMRED ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CUBA NA INDONESIA OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM LEO JANUARI 16, 2023. - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 16, 2023

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM KOMRED ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CUBA NA INDONESIA OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM LEO JANUARI 16, 2023.

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wawili wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania ambao ni Balozi wa Cuba, Yordenis Despaigne Vera na Balozi Mteule wa Indonesia, Triyogo Jatmiko. Katika mazungumzo yao wamesisitiza kuimarisha uhusiano wa kidugu na kufungua fursa mbalimbali. (Picha zote na Fahad Siraj wa CCM).

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akiwa katika picha ya Pamoja na Balozi wa Cuba, Yordenis Despaigne Vera, alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  16, 2023.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Cuba, Yordenis Despaigne Vera, alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  16, 2023.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akifurahi na kushikana mikono  na Balozi wa Cuba, Yordenis Despaigne Vera, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  16, 2023.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Cuba, Yordenis Despaigne Vera, alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  16, 2023.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akiagana  na  Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mheshimiwa Triyogo Jatmiko alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  16, 2023.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Cuba, Yordenis Despaigne Vera, alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari  16, 2023.


 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad